Simba ya kupindua meza ilikuwa ya kina kagele,chama,miquison,paschal wawa,kichuya bwarya,Boko,lakini Simba hii ya wachezaji wa nne tu yaani ukiwakamata,kibu,mpanzu,husen,kapombe walio Baki wote hata mm hawanizuii
Mechi haijaisha tutunze maneno na tuungane kama tunaitaka nusu fainali,wachezaji waetu na kocha wanaitaji maneno na dua za faraja,angalia magoli waliyopata ndipo utajua uwanja wao uliwabeba.nikuache na swali mwanasimba gani ameikatia simba tamaa ya kwenda nusu fainali?ni asie jua mpira
Tusiishie kulaum penalty tuu tulaum nafasi tulizopata tukashindwa kutumia wenzetu wamepata nafasi mbili na wamefunga hapo kuna cha kujifunza sana kuchezea mpira sio ishu kwenye hizi hatua
Simba acheni unafiki na maneno ya uwoga simba wanashida kubwa sana haswaa kwa ateba mnatudanganya kumbe kuna uzembe mkubwa sana ateba alikuja kusaisia simba au kujinenepea uzembe kitambi kwa mchezaji inatoka wapi msssss
Kapteni wa simba hata asilalamikie Sema hiyo ni maelekezo tu, mbona gori la pili ajaenda kuangalia VAR, ila kaambiwa then kaweka kati bila kujizihilisha.
Mchungaji ubora ukae kimya. Mnaongea sana Simba Bado ni mbovu Haina Quality ya wachezaji kuamua matokeo.Wachezaji wanakaa na mpira mguuni kwa muda mrefu nakufanya wapinzaji wanajipanga
Kocha hafanyi sub ni kama mechi ya Azam wenzio wanafanya sub wanaongeza nguvu yeye hafanyi sub, una wachezaji kama Mavambo una wachezaji kama Awesu hawachezi kabisa
Tuache ujinga, waarabu wamepata tatu, wamefunga, sisi tumepata 20, hata moja atujafunga. Kazi kuongelea Penalty, usipofika kwenye 18, penalty unapata ya bibi Yako?!
Kocha ni chanzo Ateba ni wa nini? Hana uwezo wa kumiliki mpira hayuko flexible hanyumbuliki halafu kocha amekaa kwenye benchi wakati anajua kabisa mechi ilitakiwa apate goli moja la ugenini Mpanzu na kibu ndiyo wachezaji waliyokuwa tishio Ahua naye pia alikuwa chini ya kiwango Ateba mechi ijayo asimwanzishe
Niseme kule mbele hasa Ateba utulivu unahitajika kila bahati ya nafasi moja ni dhahabu. Na kingine SIMBA BAHATI HAIKUWA KWETU KABISA. ACHANA NA KUMLAUMU REFA NA MTU YEYOTE
Ili tushinde kwa Mkapa, tufanye haya Timu ijitume,Washambuliaji waingie kwenye 18 wengi ili cross za mpanzu wazitie nyavuni, Sub ifanyike mapema mchezaji anapoonekana hayupo vizuri kama Ateba na Ahoua watupishe maana kuna Mukwala, Chasambi , Mutale na wengine,Wachezaji waelekezwe namna ya kudai haki yao kwa wanaosimamia AVR na wajue ipo, Mwalimu aache kulazimisha Ateba lazima aanze kucheza ikiwezekana atokee bench, Washabiki tujitahidi kuingia uwanjani kwa wingi kwa mchezo wa marudiano tuishangilie timu yetu. SIMBA NGUVU MOJA.
Tumepoteza kwa uzembe wetu. Hii mechi ilikuwa ya kushinda kabisa
Simba ya kupindua meza ilikuwa ya kina kagele,chama,miquison,paschal wawa,kichuya bwarya,Boko,lakini Simba hii ya wachezaji wa nne tu yaani ukiwakamata,kibu,mpanzu,husen,kapombe walio Baki wote hata mm hawanizuii
Jwaneng walipofungwa 6 Kagere alikuwepo?
Ateba choko choko choko choko
Mechi haijaisha tutunze maneno na tuungane kama tunaitaka nusu fainali,wachezaji waetu na kocha wanaitaji maneno na dua za faraja,angalia magoli waliyopata ndipo utajua uwanja wao uliwabeba.nikuache na swali mwanasimba gani ameikatia simba tamaa ya kwenda nusu fainali?ni asie jua mpira
Ila hata Mimi huyu kocha kwa ateba anajipotezea muda wa ushindii
Kapteni shabalala abadilishwe hana exposure ni muoga hajui lugha utamchaguaje kapteni asiyejua lugha za kimataifa
Tusiishie kulaum penalty tuu tulaum nafasi tulizopata tukashindwa kutumia wenzetu wamepata nafasi mbili na wamefunga hapo kuna cha kujifunza sana kuchezea mpira sio ishu kwenye hizi hatua
We Ukiangaliya Simba Wanafunga Kweli Bila Penati Au Shoboooo😂😂😂😂😂
Pigeni vichwavyao kumbe bado wanapumua😅😅😅😅😅😅😅😅
Ateba hatufai
Ukomeeeeeeee
Simba acheni unafiki na maneno ya uwoga simba wanashida kubwa sana haswaa kwa ateba mnatudanganya kumbe kuna uzembe mkubwa sana ateba alikuja kusaisia simba au kujinenepea uzembe kitambi kwa mchezaji inatoka wapi msssss
Simba bwana tatizo hatujuwi kuraramika kumbuka afirc kusin turifungwa kihuni hivihivi
Kocha wa Simba nimpumbavu sana anampanga ateba anakosa magoli lakini bado anampanga
Kapteni wa simba hata asilalamikie Sema hiyo ni maelekezo tu, mbona gori la pili ajaenda kuangalia VAR, ila kaambiwa then kaweka kati bila kujizihilisha.
Mchungaji ubora ukae kimya. Mnaongea sana Simba Bado ni mbovu Haina Quality ya wachezaji kuamua matokeo.Wachezaji wanakaa na mpira mguuni kwa muda mrefu nakufanya wapinzaji wanajipanga
Umeongea ukweli kaka
Bado unabii wake kunawakati wanawaisraeli walimlalamikia Musa Kwa kukata tamaaa
Kocha wa Simba ametukosea sana sisi mashabiki kumpanga ateba
Upo Sawa sana
Kazngua mnoo ateba n mbwa
Hata mm simpend ateba
Kocha wetu hawezi kutuvusha mbinu zake hovyo sana hafanyi sub anamuweka bench mukwala kisa baunsa Ateba😂
Hatumtak ateba boya yule mbwa kbc atupish
Mtabaki na historia. Wasubirie waarabu.
Kocha hafanyi sub ni kama mechi ya Azam wenzio wanafanya sub wanaongeza nguvu yeye hafanyi sub, una wachezaji kama Mavambo una wachezaji kama Awesu hawachezi kabisa
Ili tushinde ateba Asianze pia budo anahitajika sana ili kufosi
Kuchezea mpira ww dk 90 bila matokeo ni ujingaaa msijifariji mshapigwaaaaa😂😂😂😂
Coach na yy anazingua kufanya sub mapem
Ateba out hovyo kabisa mpanzu nae mchoyo sana toa pas
Piga kichwanii bado anapumuaa 😅😅😂😂😂
Team captain mzembe
Shida kingereza
Areba hakuna Kila kitu hapo tulipigwa mechi ijayo asicheze tu
Kabisa kaka kumbe macho yako yameona
Ateba kashanenepa mickson wa pili mkwala acheze ty yaani
Wachezaji wetu wazembe
Kocha ana uzito wakifanya sab
Aanze mukwala hiyo ateba hafai aludiswe kwao
Wanasimba tutulie tunavuma tu
Tatizo Mohamed Hussein hajui kuongea Kifaransa ndio maana aliogopa kumfuata Refa kumlalamika aangalie VAR penalty ya Ateba
Ateba atatutoa ata kwa mkapa
Tuache ujinga, waarabu wamepata tatu, wamefunga, sisi tumepata 20, hata moja atujafunga.
Kazi kuongelea Penalty, usipofika kwenye 18, penalty unapata ya bibi Yako?!
Kocha aache kumweka Ateba kipindincha kwanza,awe anamweka Mkwala.
Ateba mzito kugeuka mwalim ampumzishe ateba weka mkwala au chachambi
Acha maneno fanyeni vitendo na watafanya dtenc tu labda mtumie njia nyingine
tumecheza ila daah hakuna goli ,tukafungwa sisi , sijui kama tutavuka kwenda nusu japo inawezekana
Halafu aibu sana mtu mzima kuongea uongo.
Simba wafungaji hatuna hata ujinga tunao hawajui hata kumzonga mwamzi ili aangalie var
Huyu ndo kirusi muongo àlielekeza nguvu Tabora
Tukiwaambia hamna timu ohh tuko shirikisho aya ndo akili iwakae sawa
Tatizo GSM anaharibu mpira halafu hatujapewa nafasi ya kufanya mazoezi kuzoeya uwanja
Ateba anaipotezea timu Moli yaani ana nyan'ganywa mpira kwenye box mara tatu hakuna streka wa hovyo
Hvkweli shot off target zaid ya 19 hamna hata goli ujinga kabisa
Ateba jamani hatufai hata kidogo hata mugalu alikuwa hivi hivi
😂🎉😂😂😂😂Hii tunavuka
Sina imani
Mchngaji hakuiona mecha na magori
Huyu mtu ni liwaambia ni mganga tu wakienyeji ndio vizuri kila kunapokucha yanga yanga mnasahau kuangalia timu yenu ina mapungufu gani
Ateba kufunga anajua ila miguu amefunga mapipa sio mwepesi kama mukwala
Badilisha kapteni apewe Ngoma.
Ateba mzigo mzito
Hakuba hata kocha mwehu tu ateba mshambuliaji wa ajabu
Nikwer kabisa yaan wachezaji hawatumii nafasi lkn pia hawamgasi mwamzi yaan wamepoa kanakwamba hawajui ni mtoano
Kama hamsikii mlioko kwenye maamuzi kuhusu Ateba
Liateba jinga sana na kocha wake
Piga mbwa hao kumamake oooh yanga wachumba haya sasa kat yasimba na yanga nan mchumba
We ni kiazi,unasema hivyo wkt bado kuna mchezo wa pili?
Refa kawabeba waarabu
Kawabeba mlisha wahi kushinda ugenini?
Haaaaaa HACHANA na upofu ulio nao kijanaa
Kocha ampumzishe, baunsa amchezeshe mukwara
WACHEZAJI AMBAO MO DEWJI ANASAJILI NI WA LOW QUALITY KASHINDWAA TU KUMLETA FEITOTO, HATUNA TEAM YA UBINGWAA
Usidhani kila kitu ni rahisi kama unavyodhani unalaumu kama vile hela unatoa wewe
Na uhakika Simba SC itamfunga Mwarabu ... 3 ...... Had 5
Kocha ni chanzo Ateba ni wa nini? Hana uwezo wa kumiliki mpira hayuko flexible hanyumbuliki halafu kocha amekaa kwenye benchi wakati anajua kabisa mechi ilitakiwa apate goli moja la ugenini Mpanzu na kibu ndiyo wachezaji waliyokuwa tishio Ahua naye pia alikuwa chini ya kiwango Ateba mechi ijayo asimwanzishe
Ateba sio straika anakaba timu pia ahua apunguze kauchoyo
Shida zibwe kingereza refa hajui kiswahili jmn
Mchungaji ulisema simba itashinda goli 2 mbn wamefungwa sasa utabiri wako nivipi
Niseme kule mbele hasa Ateba utulivu unahitajika kila bahati ya nafasi moja ni dhahabu. Na kingine SIMBA BAHATI HAIKUWA KWETU KABISA. ACHANA NA KUMLAUMU REFA NA MTU YEYOTE
Gsm anaharibu mpira
Ateba ajirekebishe Nini wakati uwezowake umefika mwisho
Ndgu muandishi acha unafki sasa unaongea vip kwamba simba hoi wakati kamilik mpirq mwanzo mwixho
Mkomeee😂😂😂😂😂 mazoezi ndo msingizie mmepingwatuj😂😂😂
Mbwaa wwe
Acheni mambo ya kujitamba sisi hatupendi hayo
Muone mchungaji wa mbuzi huyoo kafungwa
Kocha fala tu kama mafala wengine
Ulisema unashinda mbona hujashinda mobility pole just hamtoboi ngoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooookkkkk
Muone na kilimu yake usoni😂😂😂
Var ya waarabu
Uwezo wawachezaji ni mdogo
Mm naona mtavuka maji
Hatumtaki mjinga hiyo hafai
Kiukwel huyu mchungaji anaupungufu wa akili
Eti kila sku ateba na haba mbinu zozote jana imeniuma sana kupoteza mechi kijinga kila mtu anacheza mwenyewe haichezi kama timu
Michezo hauna bahati
Huyo huwa ana ndoto ,zake za mchana
Tushukuru kwa yote ,mbili chache,kuliko tungefungwa nne
Kocha anatukera na ateba wake
Kocha kazingua sana ameshindwa kufanya sub mapema
Muoga
Huko sio ligi kuu tulieni muone
Kwenda kule mnajifaliji tu timu lenu bovu
Anachelewa kufanya mabadiliko
Mkomeee😂😂😂😂😂
Ungekua bikra ungetusumbua mbwa weweeeee
Kolo acheni lawama uwezo mdogo
We acha
Kocha amechelewa kumtoa ateba
Acheni ushamba kishabiki. Coach kakosea Nini? Utaalam sio mfikiriavyo
Nihihii iliwatowa yenutu nawajuwa ni jajisifutuu hmna kitu watawatowa tena zenu ni firimbi hmnakitu Acha uongo
Ili tushinde kwa Mkapa, tufanye haya
Timu ijitume,Washambuliaji waingie kwenye 18 wengi ili cross za mpanzu wazitie nyavuni, Sub ifanyike mapema mchezaji anapoonekana hayupo vizuri kama Ateba na Ahoua watupishe maana kuna Mukwala, Chasambi , Mutale na wengine,Wachezaji waelekezwe namna ya kudai haki yao kwa wanaosimamia AVR na wajue ipo, Mwalimu aache kulazimisha Ateba lazima aanze kucheza ikiwezekana atokee bench, Washabiki tujitahidi kuingia uwanjani kwa wingi kwa mchezo wa marudiano tuishangilie timu yetu. SIMBA NGUVU MOJA.
Hadi bench ufundi
Nyoko ulituambia simba anashinda 2 leo wewe kajichubue tu eti mchungaji kamdomo tu mpira sio maneno
We boya tu
Au gsm anahalibu mpila 😅😅😅😅😅😅
Kanye ulale